Tume ya taifa ya uchaguzi pamoja na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa yasema kuwa hakuna mkakati wowote wa kuiba kura kwa manufaa ya chama fulani katika uchaguzi mkuu ujao kama inavyodaiwa na baadhi ya watu.
Mhe. John Magufuli akiwa katika Kampeni Mbeya akiungwa mkono na viongozi wengine pamoja na Wanachama.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni