LIFE AFTER NOW

Learning about tommorow

Alhamisi, 27 Agosti 2015

chakushangaza juu ya magufuli huko rukwa

Mgombea urais CCM Dr Magufuli ashangazwa kukwama miradi mbalimbali ya maendeleo. Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi Dr John Pombe Magufuli ameonesha kushangazwa na miradi kadhaa ya maendeleo nchini kukwama katika sekta mbalimbali huku fedha zikiwa zimeshatolewa jambo linalowafanya watanzania kuichukia serikali yao na kusababisha mianya ya rushwa na hivyo kuwataka watanzania wampe ridhaa ya kuliongoza taifa ili aweze kuisimamia miradi hiyo kikamilifu na kuleta maendeleo nchini lakini pia kubana fursa za ubadhirifu zinazosababisha kero kubwa kwa wananchi wa hali ya nchini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni