LIFE AFTER NOW

Learning about tommorow

Alhamisi, 27 Agosti 2015

je unajua yaliyoikumba tume ya uchanguz dhid ya ataifa ya nje

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasema haijapokea barua yoyote toka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC). Yasema hakuna mtu anayezuiwa kuangalia uchaguzi mradi tu atimize vigezo. Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa nayo yasema haijapokea barua ya aina yoyote toka ICC.
Wewe kama mwananchi, unadhani kuna umuhimu wa wasimamizi kutoka nje ya nchi kuja kusimamia uchaguzi wetu mwaka huu?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni