LIFE AFTER NOW

Learning about tommorow

Jumatatu, 1 Februari 2016

STORY MADAM COMPLETE


                                         SORRY MADAM 89
 
ILIPOISHIA

Mapigo ya moyo yakaanza kuniendaa mbio. Nikaanza kufwata michuruziko ya damu iliyo elekea chumbani mwa amina kabla sijufikia mlango wa chumbani kwake, kitu kizito kikangia kupitia dirishani. Kikaanza kutoa moshi mkali ulioa anza kunipalia, nikagundua ni bomu la machozi, lililo ambanata nailio ya risasi iliyoanza kusikika ikitokea nje.

ENDELEA

  Ikanilazimu kulala chini haraka haraka, risasi zikazidi kumiminika zikipigwa kupitia maditishani, ambayo ni yaviol na tayari yamesha vunjika vibaya mno. Kitu kilicho nichanganya sikujua risasi hizo zinatokea upande gai, na mbaya sijajua watu hawa nj waaina gani, na wanamalengo ganjni kwangu. Nikatamba haraka na kuyachukua masanduku ya pesa nikaufungua mlango wa chumba cha Amina, nukayasukumia ndani, na mi nikaingia nikiwa ninatambaa, japo moshi huu, mkali uliendelea kunipalia na kuyafanya macho yangu kumwagikwa na machozi mengi. Nikamkuta polisi akiwa ameuawa ndani ya chumba cha Amina, huku risasi kadhaa, zikiwa zimekichangua kichwa chake vibaya. Nikafunga mlango kwa ndani, nikaatafuta maji ya kunawa usoni, ila sikuyapata. Nikavua shati langu nililo livaa, nikalikojolea na kulitotesha vizuri kwa maji mengi. Nikajifunika usoni, kidogi hali ya kumwagikwa kwa machozi ikapungua. Risasi zikaendelea kurindima, nikawa ninajiuliza watu hawa huwenda wakawa ni wendawazimu, kutokana risasi zao wanazimalizia katika kuzifyatua pasipo malengo, isitoshe ukuta waa nyumba hi, kidogo ni imara sana, na risasi kupenya si rahisi sana.

  Nikatafuta kila koa ya chumba kama kuna kitu cha kuweza kunisaidia kuepukana katika adha hii ya kuingia mikononi mwa watu amwa watu ambao hadi sasa hivi sijajua kama ni poliai au laa. Katika kuyembea tembea ndani ya chumba cha Amina, nikahisi mlio fulani kutokea chuni ya kapeti lililo tandazwa chumba kizima. Nilalifunua kwa haraka na kukuta, mfuniko wa chuma, ulio fungwa kwa kufuli. Nikaanza kutafuta jinsi ya kuufungua mfuniko huu, kwakutumia ncha ya sanduku moja wapo, ñikafanikiwa kulivuñja kufuli. Nikalifungua, nikakuta ngazi ya kushuka chini, kwa haraka nikashuka japo kuna giza totoro, ila nikajiamini. Kufika chini ya ngazi, nikahisi kuna kitu, kinanigusa kichwani, nikaupeleka mkoni wanguna kushika, nikakuta kijikamba, katika kukivuta chini, taa karibia nne, zilizopo ndani ya chumba hichi zikawaka. Bunduki nyingi za kila aina nikaziona zikiwa zimepangiliwa vizuri kwenye kuta za handaki hili, nikapnda juu haraka, nikayasukumia ndani masanduku ya pesa, nikajibanza kwenye moja ya kuta, yenye dirisha, nikachungulia nje. Nikaona watu wakikatiza katiza kwenye miti mingi ya hii, nyumba. Mikononi mwao wakiwa na silaha. Kitendo cha wao kukimbia kimbia kwenye miti hii, ni kubadilishana nafasi za kufyatua risasi. Kitu kilicho nifanya nigundue hawa si polisi, hii nikutokana na vilemba vyao walivyo jifunga, pamoja na mavazi yasiyo na sare maalumu.

"Jamaa wamekuja hadi huku"Nilijisemea, mwenyewe huku nikiendelea kuwatazama jinsi wanavyo fyatua risasi zinazo piga kwenye kuta ya nyumba hii. 'Wameanza mimi, nitamaliza'Nilizungumza, huku nikishuka kwenye ngazi za kuingia kwenye handaki. Nikanza kufungua makabati manne yaliyopo humu ndani, nikayakuta yakiwa na bunduki pamoja na silaha kadhaa, nikakuta kisanduku cha kuhifadhia, vitu vya huduma ya kwanza. Nikafungua na kuchukua clip bandeji, nikajifunga sejemu nilizo pata majeraha ya kukatwa na visu. Nilipo hakilisha nipo salama, nikachukua bunduki, aina ya SMG, nikachukua na magazine kumi, zilizo jaa risasi.Nikachukua shati langu, nililo lilowanisha kwa mikojo, nikajifunga kichwani. Nikapanda juu, nikakuta hali ikiwa imetulia. Nikaanza kusikia minong'ono ikitokea sebleni, iloashiria jamaa, wamesha ingia ndani. Nikajibanza pembeni ya ukuta wenye mlango, taratibu nikakifungua kitasa, Na kuuvuta mlango taratibu, nikauachia, nikañza kusikia hatua za mtu akija chumbabi.Nikashañgàà, kunuona mtoto mdogi wa kike mwenye umri chini ya miaka kumi na tato, akiwa ameshika bunduki huku akimshangaa, polisi aliye lala chini. 
"Amefia huku"

Alizungumza pasipo kuniona nyuma ya mlango, nilipo simama. Akaiweka bunduki yake chini na kuanza umpapasa askari huyu, nikasogea pembeni kidogo, ili asinione, kwa bahati mbaya nikagusa kikopo chenye poda kilichokua juu ya 'dreasing table'

na kikaanguka chini na kumfanya binti huyo kugeuka haraka, tukakutana macho kwa macho.

 

Kumbukumbu za wanakijiji walio vamiwa na John, na kuuliwa watoto wao kikatili, wasio na hatia yoyote. Ikapita kichwani mwangu kwa haraka, nikajikuta nikomuonea huruma binti huyu ambaye hastahili kifo kwa wakati huu. uzuri wa binti huyu, kidogo unaendana na Phdaya wangu, Macho yake, pua yake, midomo yake ni kama Phidaya. Nikawa katika dimbwi zito la kumtathimi binti huyu, nikastukia kuona mtu aliye valia sutlruali ya jeshi, akiingia ndanj ya chumba hichi, huku akimfokea binti huyu, akimuuliza mbona anachelewa kutoka.

Nikafyatua risasi kadhaa kwa jamaa, huyu na akaanguka chini. Binti akajribu kuchukua bunduki yake, ila nikawahi kujirusha na kuisukumia pembeni. Jamaa waliopo sebleni, wakaanza kufyatua risasi nyingi katika chumba tulichopo. Nikamnyanyua binti huyu aliye chamganyikiwa na kumsukumiza kwenye ukuta usio pitisha risasi. Nikaanza na mimi kujibu mashambulizi ya watu hawa.

"Babaa, Babaa usiniache mwenyewe"Binti huyu alianza kulia, huku akimtazama mzee, huyu niloye mpiga risasi na kufa mbele ya macho yake.Nikaendelea, kujibu mashambulizi ya jamaa hawa, walio sebleni wakakimbjlia nje. Nikatoka sebleni, huku nikiendeleà kujibu mashambulizi yao. Nikasikia sauti zikiwaashiria waondoke, haraka eneo hili kwani mkubwa wao amekufa. Ndani ya dakika tano, ukimya ukatawala nje ya nyumba. Nikarudi ndani ya chumba na kumkuta binti huyu akiwa amemuegemea baba yake, aliye jitahadi kumnyanyua hadi akamkalisha kitako.Binti huyu akanyanyuka, haraka na kunifwata mlangoni nilipo simama. Akaanza kunipiga piga kifuani huku akilia.

"Umemuua baba yangu"

"Kwa nini umuue baba yangu?"
Aliendelea kunipiga kifuani, mwangu sikumjibu kitu chochote, akaendelea kunipiga kifuani mwangu, nikajikuta nikimtandika kofi moja la shavuni lililo muangusha chini, nakumfanya atulie kimya. Nikakaa kitanda huku, nikiwa nimejichokea sana. Nikajihi maumivu kwenye paja langu la mguu wa kushoto, nikajichunguza vizuri na kugundua nina jeraha risasi, iliyo nikwaruza, ila haikuingia ndani ya mguu wangu. "Mungu, hivi kwanini maisha yangu si yaraha?"Nilijikuta nikizungumza mwenyewe huku nikitazama maiti mbili zililo lala chini, sikujua hata hii maiti ya askati imetokea wapi. Ubaya wa hii sehemu, nyumba ipo msituni, na imezingirwa na miti mingi, kiasi kwamba si rahisi kwa watu wa kawaida kupafikia.Nikazitoa maiti zote mbili, nukuziweka sebleni, Nikaigia chini kwenye handaki, nikajitibu jeraha la risasi iliyo nipunyua. Nikachuku silaha na risasj zakutosha nikazipeleka kwenye gari, nililo likuta lipo salama salmin. Nikarudi na kuchukua masandukuvya pesa kabla sijatoka binti akapiga chafya. Nilayaweka chini nà kumsogelea karibu, nikamnyanyua na kumuweka kumkalisha.
"Unaitwa nani?"
"Eheeee"
"Jina lako ni nani?"
Akabaki akiwa amenitazama tu, pasipo kunijibu kitu cha aina yoyoye.
"Nipo wapi?"
"Upo duniani"
Nilimjibu hivyo kutokana ninatambua  kwamba alipoteza fahami kwa kofi zito nililo mtandika. Akanyanyuka na kutazama mazingira ya chumba, nikamuona jinsi anavyo zitazama damu zilizo tapakaa chini.
"Kumetokea nini?"
"Hakuna, twende zetu"
Tukatoka chumbani, akafika sebeni, akaitazama maiti ya bana yake. Nikashangaa kumuona akianza kuupiga mwili wa baba yake mateke huku akianza kulia.
"Kufa kufa kufa"
Alizungumza huku akizidi kuutandika mateke mwili wa baba yake, nikabaki nikiwa nimeduwaaa nisijue nini kinacho endelea.

            ITAENDELEA

USIKOSE SEHEMU YA 90. HAOA HAPA KATIKA STORY ZA EDDY PAGE.

MALIZIA STORY  NZIMA  LEO HAPA

 

 

 

 

 

                                                                                                 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni