KWA NINI UWEKEZE $18?
UTANGULIZI
Kutokana na ukuaji wa sayansi na teknolojia sasa unaweza kujiajiri mtandaoni na kuondokana kabisa na umasikini na kupunguza tatizo sugu la ajira pamoja na kujipatia kipato cha kutosha kabisa kwa watu walioajiriwa ambao hawapati kipato kizuri kutokana na ajira hizo.KAMPUNI YETU
4Corners Alliance Group ni Kampuni inayotokana na kampuni mama ya Cornerstone LLC iliyopo Las Vegas Marekani.Imeanzishwa mwaka 2013 na mwanzilishi wake akiwa ni David Harrison ambaye alikuwa ni Mfanya biashara katika biashara hii ya mtandao.
FURSA
4Corners Alliance Group ni kampuni ambayo imejikita katika kutoa elimu ya Ujasiriamali, Uchumi, fedha, Uwekezaji na Biashara kwa kutumia bidhaa mbili tu.1. Vitabu vya mtandaoni(ebooks)
2. Jarida la kila mwezi la mtandaoni (enewsletter)
Vitabu vya mtandaoni(ebooks)
Vitabu zaidi
Bidhaa hyo imegawanyika katika makundi sita(6) ambayo yanaitwa ngazi(levels).Level 1 inakuwa na watu 4 tu.
Level 2 inakiwa na watu 16 tu.
Level 3 inakuwa na watu 64 tu.
Level 4 inakuwa na watu 256 tu.
Level 5 inakuwa na watu 1024 tu.
Level 6 inakuwa na watu 4096 tu.
Kila ngazi ina Seti yake ya vitabu vyake vikiwa na dhima tofauti na kw bei tofauti.
Level 1 ni $10
Level 2 ni $10
Level 3 ni $25
Level 4 ni $60
Level 5 ni $150
Level 6 ni $300
Unaweza kuvinunu vitabu vyoote hivi kwa hela yako mwenyewe ukajisomea mwenyewe...
Je ni kweli tunaweza?
Hapa ndo unakuja mpango wa kuunda timu ili kujenga kipato cha kukuwezesha kununua vitabu zaidi na kujipatia ziada kubwa kabisa.
Inakuwaje?
Unapojiunga tu kwa $18, $8 ni ya usajili na $10 inakununulia bidhaa ya level 1.
Unapoanza kujenga timu hivi ndivyo utakavyonufaika.
Kwa watu walioko kizazi cha 1 utalipwa $4 kwa kila mauzo ya $10 ya bidhaa ya Level 1 na jumla kuwa $4 x 4 = $16
Kwa watu walioko kizazi cha 2 utalipwa $4 kwa kila mauzo ya $10 ya bidhaa ya Level 2 na jumla kuwa $4 x 16= $64
Kwa watu walioko kizazi cha 3 utalipwa $10 kwa kila mauzo ya $25 ya bidhaa ya Level 3 na jumla kuwa $10 x 64 = $640
Kwa watu walioko kizazi cha 4 utalipwa $24 kwa kila mauzo ya $60 ya bidhaa ya Level 4 na jumla kuwa $24 x 256= $6144
Kwa watu walioko kizazi cha 5 utalipwa $60 kwa kila mauzo ya $150 ya bidhaa ya Level 5 na jumla kuwa $60 x 1024= $61440
Kwa watu walioko kizazi cha 6 utalipwa $120 kwa kila mauzo ya $300 ya bidhaa ya Level 6 na jumla kuwa $120 x 4096 = $491,520
Jumla Utakuwa umelipwa kiasi cha $559,824.
Kinaweza kuwa ni kiasi kikubwa sana ambacho labda unaweza kuchukua miaka michache kukifikia. Lakini jiulize tu, Je ungepata 10% ya hicho kipato kwa mwaka mmoja ungefanya nini?
UKUMBUKE KUWA HELA YOTE HIYO ITATOKANA NA MALIPO UNAYOPATA KWA KUJENGA TIMU YAKO NA SIO MFUKONI MWAKO TENA.
KIKUBWA ZAIDI ni 100% Bonus.
Hii hutolewa kwa kila kila mtu uliyemuingiza chini yako moja kwa moja.
Bonus hii hutolewa pindi pale mtu uliyemwingiza moja kwa moja anapolipwa.
Chochote atakacholipwa unalipwa kwa 100% wewe ukiwa ndo mdhamini wake.
Mfano:
Mtu wako akilipwa $100 kama malipo ya mauzo, na wewe utalipwa bonus ya $100 papo hapo.
SPILLOVER
Baada ya wale wanne(4) tulioona pale mwanzo kila utakayemwingiza atakupatia $4 lakini hatakaa kwenye level 1 yako...system itatafuta pengo itamuweka huko.
Nini faida ya kuingiza watu zaidi?
Unapokuwa na watu wengi zaidi chini yako utafaidi zaidi ile bonus ya 100%.
Mfano:
Ukiwa na watu 20 na kila mmoja akawa amelipwa $50, ina maana utalipwa $50 x 20 = $1,000 papo hapo...
Hii ni kwa mujibu wa 25 June 2015
Vitu muhimu.
1. Hakuna kikomo cha uanachama.2. Hakuna kukimbizana na targets. Kila mtu anafanya kwa raha zake...speed yako mafanikio yako.
3. Hakuna kuuza bidhaa.
4. Hakuna kutoa hela nyingine mfukoni mwako baada ya $18.
JARIDA LA KILA MWEZI (e newsletter)
Hili jarida hutoka kila mwezi mara moja na gharama yake ni $29.95.1. Hautalipwa kamisheni zake kma hulichukui.
2. Inashauriwa kulichukua pindi unapokea malipo ya level 4.
3. $29.95 inakatwa kwenye kamishen zako.
Kwa kila anayelichukua jarida hili unalipwa ifuatavyo...
Level 1: $1 x 4 = $4
Level 2: $1 x 16 = $16
Level 3: $1 x 64 = $64
Level 4: $1 x 256 = $256
Level 5: $2 x 1024 = $2048
Level 6: $2 x 4096 = $8,192
Level 7: $4 x 16384 = $65,536
Jumla Kuu ni $76,116
Hapa ile Bonus ya 100% inahusika.
NINALIPWAJE?
Uapojiunga unapewa ofisi yako ya mtandaoni..(backoffice)...Maombi ya kutoa fedha yanafanyika siku ya Jumapili, Jumatatu na Jumanne...na malipo yatafanyika Jumanne itakayofuata kupitia Visa au Mastercard ya kampuni ambayo utaiagiza kwa kiasi cha $30 tu.
Pia utaweza kuomba malipo kupitia Visa au Mastercard yako binafsi.
Na utaweza kutoa kupitia ATM za hapa hapa kwetu.
Naanzaje biashara hii?
Kinachohitajika ni 1. Visa au Mastercard yenye $18*.
2. Email (isiwe yahoo au AOL).
3. Username(Jina) ya mtu aliyekushirikisha hii fursa.
4. Kisha Ingia hapa kujiunga
*Kama hauna Visa au Mastercard Wasiliana na aliyekushirikisha au kwa mawasiliano yangu hapo chini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni