LIFE AFTER NOW

Learning about tommorow

Alhamisi, 4 Juni 2015

Kofi Annan amtaka Nkurunziza kujiuzulu


Koffi Annan
Aliyekuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa Koffi Annan amemtaka rais wa Burundi Pierre Nku
runziza kujiuzulu huku uchaguzi mkuu ukiahirishwa.
Kumekuwa na maandamano ya ghasia nchini Burundi pamoja na mapinduzi yaliofeli tangu Nkurunziza atangaze kuwa atawania muhula mwengine wa tatu wa urais katika kile watu wanaamni ni ukiukaji wa katiba.
Annan ameiambia BBC kwamba rais huyo amepoteza uhalali wake na sasa anafaa kujiuzulu iwapo anawajali raia wa Burundi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni